Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Awasili Nchi Djibout Kwa Ziara ya Kiserikali.
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Awasili Nchi Djibout Kwa Ziara ya Kiserikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Awasili Nchi Djibout Kwa Ziara ya Kiserikali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein, akisalimiana wafanyakazi wa Ofisi ya Ubalozi wa Ethiopia mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini Humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Brig Generali Bishoge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu,(katikati ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Brig Generali Bishoge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu,(katikati ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Brig Generali Bishoge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu,(katikati ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein,(Picha na Ikulu) 6 Mei 2017.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Awasili Nchi Djibout Kwa Ziara ya Kiserikali.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Awasili Nchi Djibout Kwa Ziara ya Kiserikali. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Awasili Nchi Djibout Kwa Ziara ya Kiserikali. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_7.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Awasili Nchi Djibout Kwa Ziara ya Kiserikali."
Post a Comment