Loading...
title : Rais wa Znzibar Dkt. Shein akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu
link : Rais wa Znzibar Dkt. Shein akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu
Rais wa Znzibar Dkt. Shein akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein, akisalimiana wafanyakazi wa Ofisi ya Ubalozi wa Ethiopia mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini Humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Brigedier General Bishoge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu,(katikati ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Brigedier General Bishoge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu,(katikati ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Brigedier General Bishoge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa nchini humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu,(katikati ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein. Picha na Ikulu
Hivyo makala Rais wa Znzibar Dkt. Shein akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu
yaani makala yote Rais wa Znzibar Dkt. Shein akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Znzibar Dkt. Shein akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/rais-wa-znzibar-dkt-shein-akielekea.html
0 Response to "Rais wa Znzibar Dkt. Shein akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu"
Post a Comment