Loading...
title : RC GAMBO AFUNGUA SEMINA YA BODI YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII, JIJINI ARUSHA LEO
link : RC GAMBO AFUNGUA SEMINA YA BODI YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII, JIJINI ARUSHA LEO
RC GAMBO AFUNGUA SEMINA YA BODI YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII, JIJINI ARUSHA LEO
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akizungumza wakati akifungua Semina ya Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akizungumza wakati akifungua Semina ya Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kufungua semina hiyo, itakayowajengea uwezo Wajumbe wa Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, kuhusu sekta ya Viwanda kuwa kama fursa ya Uwekezaji, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), Meshack Bandawe akizungumza machache wakati akitoa muongozo wa Semina hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Hivyo makala RC GAMBO AFUNGUA SEMINA YA BODI YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII, JIJINI ARUSHA LEO
yaani makala yote RC GAMBO AFUNGUA SEMINA YA BODI YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII, JIJINI ARUSHA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC GAMBO AFUNGUA SEMINA YA BODI YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII, JIJINI ARUSHA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/rc-gambo-afungua-semina-ya-bodi-ya.html
0 Response to "RC GAMBO AFUNGUA SEMINA YA BODI YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII, JIJINI ARUSHA LEO"
Post a Comment