Loading...

RC NDIKILO AWATAKA WAKULIMA WA MATUNDA KULIMA KISASA ILI KUPATA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI

Loading...
RC NDIKILO AWATAKA WAKULIMA WA MATUNDA KULIMA KISASA ILI KUPATA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC NDIKILO AWATAKA WAKULIMA WA MATUNDA KULIMA KISASA ILI KUPATA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC NDIKILO AWATAKA WAKULIMA WA MATUNDA KULIMA KISASA ILI KUPATA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI
link : RC NDIKILO AWATAKA WAKULIMA WA MATUNDA KULIMA KISASA ILI KUPATA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI

soma pia


RC NDIKILO AWATAKA WAKULIMA WA MATUNDA KULIMA KISASA ILI KUPATA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI

Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo 

WAKULIMA wa matunda wametakiwa kulima kwa kutumia mbegu bora na kilimo cha kisasa ili kupata soko kwenye viwanda vinavyosindika zao hilo, ndani na nje ya nchi. Aidha wananchi wameshauriwa kulima kilimo kinachostahimili ukame ikiwemo mahindi, mihogo, viazi vitamu na mikunde ili kujihadhali na baa la njaa baadae

Hata hivyo wametakiwa kuhifadhi chakula wakati wa mavuno utakapofika kwani kwa kufanya hivyo itawasaidia kuwa na akiba ya kutosha. Rai hiyo ilitolewa na mkuu wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo, alipotembelea kiwanda cha Elven Agri company ltd kilichopo Mapinga na kiwanda cha Sayona kinachomilikiwa na kampuni MAMA ya MMI steel, kilichopo kata ya Mboga wilayani Bagamoyo.

Alieleza, wakulima wengi wanahitaji kulima kwa tija badala ya kupata hasara kwa kukosa masoko. Mhandisi Ndikilo alisema, kwa kutambua hilo, kuna kila sababu ya kubadilika kwa kuona umuhimu wa kulima matunda yaliyo na rutuba bora na yanayojiuza. 

"Wataalamu wa kilimo, watendaji wa halmashauri katika idara hii, mtoke maofisini muende kuwapa elimu wakulima hawa ili waweze kujifunza kulima kwa kutumia mbegu za msimu mfupi, kuweka pembejeo na kupalilia, Kwa kutoa elimu za mara kwa mara kwa kufuata teknolojia za kisasa, lazima waende na wakati ili waweze kunufaika kwa jasho lao "alisema mhandisi Ndikilo. 
Mkuu wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo, aliyeshika ndizi, akionyeshwa hatua za uzalishaji katika usindikaji wa matunda kwenye kiwanda cha kusindika matunda cha Elven Agri co. Ltd kilichopo Mapinga, Bagamoyo.
Mkuu wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo (kushoto) akionyeshwa namna bidhaa mbalimbali kama pilipili zinavyofungashwa katika kiwanda cha kusindika matunda cha Elven Agri co. Ltd kilichopo Mapinga Bagamoyo.


Hivyo makala RC NDIKILO AWATAKA WAKULIMA WA MATUNDA KULIMA KISASA ILI KUPATA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI

yaani makala yote RC NDIKILO AWATAKA WAKULIMA WA MATUNDA KULIMA KISASA ILI KUPATA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC NDIKILO AWATAKA WAKULIMA WA MATUNDA KULIMA KISASA ILI KUPATA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/rc-ndikilo-awataka-wakulima-wa-matunda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC NDIKILO AWATAKA WAKULIMA WA MATUNDA KULIMA KISASA ILI KUPATA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI"

Post a Comment

Loading...