Loading...

RUFAA DHIDI YA MBUNGE WA BUNDA MJINI ESTER BULAYA YATIMBA MAHAKAMA YA RUFAA JIJIJI DARES SALAAM

Loading...
RUFAA DHIDI YA MBUNGE WA BUNDA MJINI ESTER BULAYA YATIMBA MAHAKAMA YA RUFAA JIJIJI DARES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RUFAA DHIDI YA MBUNGE WA BUNDA MJINI ESTER BULAYA YATIMBA MAHAKAMA YA RUFAA JIJIJI DARES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RUFAA DHIDI YA MBUNGE WA BUNDA MJINI ESTER BULAYA YATIMBA MAHAKAMA YA RUFAA JIJIJI DARES SALAAM
link : RUFAA DHIDI YA MBUNGE WA BUNDA MJINI ESTER BULAYA YATIMBA MAHAKAMA YA RUFAA JIJIJI DARES SALAAM

soma pia


RUFAA DHIDI YA MBUNGE WA BUNDA MJINI ESTER BULAYA YATIMBA MAHAKAMA YA RUFAA JIJIJI DARES SALAAM

 Aliyekuwa  kuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Steven  Wassira  akiwa katika jengo la Mahakama ya Rufaa jijiji Dares Salaam akizungumza jambo na baadhi ya mawakili kabla ya kusikiliza kwa Rufaa ya kesi yake dhidi ya Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya.  Katika kesi hiyo jopo la majaji watatu  wa Mahakama ya Rufaa limepanga kuendelea na kesi hiyo Jumatatu ijayo ya Aprili 15, mwaka huu. Uamuzi huo umetolewa  leo  Aprili 11, mwaka huu katika Mahakama hiyo  baada ya  Pande zote mbili  kutoa maelezo  ya sababu za rufaa.
Wakili wa Mbunge  wa Jimbo la Bunda Mjini, Tundu Lissu  akizungumza  jambo na mara baada kikao kilichokuwa kinasikiliza ombi la rufaa lilifunguliwa na  wapigakura wanne wa Jimbo la Bunda, kupinga  hukumu ya  Mahakama Kuu Kanda ya  Mwanza, kuhusu ushindi wa mbunge wa jimbo hilo, Ester Bulaya.

Wakili  Constantine  Mutalemwa  akifafanua  jambo kwa baadhi  ya waandishi  wa habari  mara baada kikao kilichokuwa kinasikiliza ombi la rufaa lilifunguliwa na  wapigakura wanne wa Jimbo la Bunda, kupinga  hukumu ya  Mahakama Kuu Kanda ya  Mwanza, kuhusu ushindi wa mbunge wa jimbo hilo, Ester Bulaya.(PICHA NA MAGRETH  KINABO)


Hivyo makala RUFAA DHIDI YA MBUNGE WA BUNDA MJINI ESTER BULAYA YATIMBA MAHAKAMA YA RUFAA JIJIJI DARES SALAAM

yaani makala yote RUFAA DHIDI YA MBUNGE WA BUNDA MJINI ESTER BULAYA YATIMBA MAHAKAMA YA RUFAA JIJIJI DARES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RUFAA DHIDI YA MBUNGE WA BUNDA MJINI ESTER BULAYA YATIMBA MAHAKAMA YA RUFAA JIJIJI DARES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/rufaa-dhidi-ya-mbunge-wa-bunda-mjini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RUFAA DHIDI YA MBUNGE WA BUNDA MJINI ESTER BULAYA YATIMBA MAHAKAMA YA RUFAA JIJIJI DARES SALAAM"

Post a Comment

Loading...