Loading...
title : SERENGETI BOYS KUIVAA MALI LEO AFCON U-17 NCHINI GABON
link : SERENGETI BOYS KUIVAA MALI LEO AFCON U-17 NCHINI GABON
SERENGETI BOYS KUIVAA MALI LEO AFCON U-17 NCHINI GABON
Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa Miaka 17, Serengeti Boys, leo Jumatatu inafungua pazia lake katika mashindano ya Kombe la Afrika kwa Vijana, kwa kumenyana na Mali katika michuano hiyo inayofanyika nchini Gabon.
Serengeti Boys ipo Kundi B, pamoja na timu nyingine za Angola na Niger ambazo nazo zitakuwa kibaruani leo.
Akizungumza kwa njia ya simu jana, kocha mkuu wa kikosi hicho, Bakari Shime, alisema kuwa kikosi chake kipo vizuri na kimejiandaa vya kutosha kuwakabili vijana wa Mali kwenye mchezo huo wa kwanza.
“Kikosi kipo vizuri na tumejipanga kuikabili vilivyo timu ya Mali kwani tunataka kuwafurahisha Watanzania kwa kutowaangusha na naomba wazidi kutuombea,” alisema Bakari Shime.
Huku timu hiyo ikipata pigo baada ya Nahodha Abas Makamba amevunjika mguu kwa hiyo ataweza kukosa michuano yote
Hivyo makala SERENGETI BOYS KUIVAA MALI LEO AFCON U-17 NCHINI GABON
yaani makala yote SERENGETI BOYS KUIVAA MALI LEO AFCON U-17 NCHINI GABON Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERENGETI BOYS KUIVAA MALI LEO AFCON U-17 NCHINI GABON mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/serengeti-boys-kuivaa-mali-leo-afcon-u.html
0 Response to "SERENGETI BOYS KUIVAA MALI LEO AFCON U-17 NCHINI GABON"
Post a Comment