Loading...
title : SPIKA MHE. JOB NDUGAI ATEMBELEA BUNGE LA KENYA
link : SPIKA MHE. JOB NDUGAI ATEMBELEA BUNGE LA KENYA
SPIKA MHE. JOB NDUGAI ATEMBELEA BUNGE LA KENYA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job akipokea zawadi kutoka Spika wa Bunge la Kenya Mhe Justin Muturi.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai (wa pili kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu Bunge la Kenya linavyofanya kazi kutoka kwa Spika wa Bunge hilo Mhe Justin Muturi.Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge, Mhe Mary Chatanda, Mhe Salim Turky na Mhe Mch.Peter Msigwa.
(Picha na Ofisi ya Bunge)
Hivyo makala SPIKA MHE. JOB NDUGAI ATEMBELEA BUNGE LA KENYA
yaani makala yote SPIKA MHE. JOB NDUGAI ATEMBELEA BUNGE LA KENYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA MHE. JOB NDUGAI ATEMBELEA BUNGE LA KENYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/spika-mhe-job-ndugai-atembelea-bunge-la.html
0 Response to "SPIKA MHE. JOB NDUGAI ATEMBELEA BUNGE LA KENYA"
Post a Comment