Loading...

SPIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA

Loading...
SPIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA
link : SPIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA

soma pia


SPIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA


  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati wa ibada Maalum ya kuliombea Taifa la Kenya iliyoandaliwa na Bunge la nchi hiyo. Wengine katika  pichani kutoka kushoto ni Spika wa Bunge la Kenya  Justin Muturi, Spika wa Bunge la Seneti la Kenya Mhe  Ekwee Ethuro na Jaji Mkuu wa Kenya Jaji David Maraga. Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge, Mhe Mary Chatanda, Mhe Salim Turky na Mhe Mch.Peter Msigwa.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai (katikati ya waliokaa kulia) akizungumza na Rais wa Kenya Mhe Uhuru Kenyatta na Makamu wake Mhe William Rutto walipokutana wakati wa ibada Maalum ya kuliombea Taifa hilo. Wengine katika picha ni Spika wa Bunge la Kenya  Mhe Justin Muturi (kulia kwa Mhe Ndugai),Spika wa Bunge la Seneti la Kenya   Mhe. Ekwee Ethuro  (wa kwanza kulia),Mke wa Rais wa Kenya Margaret Kenyatta na Mke wa Makamu wa Rais wa Kenya Rachel Chebet.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (wa pili kulia) Mhe Job Ndugai akizungumza na Spika wa Bunge la Seneti la Kenya Mhe Ekwee Ethuro  (wa pili kushoto). Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge, Mhe Mary Chatanda, Mhe Salim Turky na Mhe Mch.Peter Msigwa.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akizungumza na Spika wa Bunge la Seneti la Kenya Mhe Ekwee Ethuro  alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Nairobi, Kenya. Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la nchi hiyo.

(Picha na Ofisi ya Bunge)


Hivyo makala SPIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA

yaani makala yote SPIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/spika-wa-bunge-mh-job-ndugai-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA"

Post a Comment

Loading...