Loading...

TACAIDS YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI -MJINI DODOMA

Loading...
TACAIDS YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI -MJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TACAIDS YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI -MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TACAIDS YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI -MJINI DODOMA
link : TACAIDS YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI -MJINI DODOMA

soma pia


TACAIDS YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI -MJINI DODOMA

Semina ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kuhusu VVU na Ukwimu iliyoandaliwa na Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania TACAIDS,mjini Dodoma.

Miongoni mwa masuala yaliyozungumzwa katika semina hiyo ni changamoto mbalimbali zinazoikabili Tanzania katika mapambano dhidi ya VVU na Ukimwi.

Changamoto hizo ni pamoja na Sheria ya Magereza, adhabu ndogo kwa wanaoambukiza watu wengine VVU kwa makusudi zilizoanishwa katika Sheria ya Ukimwi, mila na desturi zilizopitwa na wakati (ukiwamo ukeketaji) na unyanyasaji wa kijinsia.

Mzungumzaji mkuu katika semina alikuwa ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania TACAIDS,  Elizabeth Kaganda. 
 Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania TACAIDS,  Elizabeth Kaganda akitoa elimu ya sheria ya maambukizi ya ukimwi wakati wa semina ya wahariri wa vyombo  vya habari na waandishi wa habari kuhusu VVU na Ukwimu iliyoandaliwa na Tacaids mjini Dodoma.
  Mkutumbi (LIBRARIAN) Bwana Elisha Mngale kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania TACAIDS, akifafanua tafiti za maambukizi ya Ukimwi zinazofanywa na Tume hiyo.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala TACAIDS YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI -MJINI DODOMA

yaani makala yote TACAIDS YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI -MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TACAIDS YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI -MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/tacaids-yatoa-semina-kwa-wahariri-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TACAIDS YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI -MJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...