Loading...

TANZANIA MISS SUPER MODEL 2017 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA

Loading...
TANZANIA MISS SUPER MODEL 2017 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZANIA MISS SUPER MODEL 2017 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZANIA MISS SUPER MODEL 2017 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA
link : TANZANIA MISS SUPER MODEL 2017 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA

soma pia


TANZANIA MISS SUPER MODEL 2017 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA

Mkurugenzi wa Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Leah Kihimbi akimkabidhi bendera ya Taifa mshiriki wa mashindano ya Miss Word Super Model 2017, Miss. Asha Ally Mabula (kushoto) wakati wa hafla ya kumkabidhi bendera hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari – MAELEZO leo Jijini Dar es Salaam. Miss huyo anatarajia kuondoka nchini leo kuelekea Macau nchini China ambapo atashiriki mashindano hayo. Katikati ni Afisa Utumishi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).
Baadhi ya waandishi wa habari wakishuhudia tukio la kumkabidhi bendera ya Taifa mshiriki wa Miss Word Super Model, Asha Ally Mabula anayetarajia kushiriki mashindano hayo Macau nchini China.
Mkurugenzi wa Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Leah Kihimbi akizungumza wakati wa tukio la kumkabidhi bendera ya Taifa mshiriki wa mashindano ya Miss Word Super Model 2017, Miss. Asha Ally Mabula (kushoto) leo Jijini Dar es Salaam. Miss huyo anatarjia kuondoka leo kuelekea Macau nchini China ambapo atashiriki mashindano hayo.
Miss Super Model 2017 Asha Ally Mabula akizungumza wakati wa tukio la kukabidhiwa bendera ya Taifa kwa ajili ya kuiwakilisha nchi katika mashindano ya Miss Word Super Model 2017 leo Jijini Dar es Salaam. Miss huyo anatarajia kuondoka leo kuelekea Macau nchini China ambapo atashiriki mashindano hayo. Kutoka kulia ni Afisa Utumishi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Mkurugenzi wa Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Leah Kihimbi na Meneja Mkuu wa Tanzania Miss Super Model Ibrahim Thabit.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO.


Hivyo makala TANZANIA MISS SUPER MODEL 2017 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA

yaani makala yote TANZANIA MISS SUPER MODEL 2017 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZANIA MISS SUPER MODEL 2017 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/tanzania-miss-super-model-2017.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANZANIA MISS SUPER MODEL 2017 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA"

Post a Comment

Loading...