Loading...

TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA

Loading...
TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA
link : TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA

soma pia


TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde inaeleza kuwa Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo wa Jimbo la Moshi Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Mzee Philemone Ndesamburo amefariki Dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya KCMC, Mkoani humo. Taarifa za awali inaelezwa kuwa, Mzee Ndesamburo aliugua ghafla akiwa nyumbani kwake na baadae akakimbizwa Hospitalini hapo kwa matibabu lakini Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi na akafariki Dunia. Taarifa zaidi tutajulishana kadri zitakapokuwa zikitufikia.


Hivyo makala TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA

yaani makala yote TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/tanzia-mzee-ndesamburo-afariki-dunia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA"

Post a Comment

Loading...