Loading...

TPSF: MAZINGIRA YA VIWANDA YANAHITAJI USHIRIKIANO KATI YA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI

Loading...
TPSF: MAZINGIRA YA VIWANDA YANAHITAJI USHIRIKIANO KATI YA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TPSF: MAZINGIRA YA VIWANDA YANAHITAJI USHIRIKIANO KATI YA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TPSF: MAZINGIRA YA VIWANDA YANAHITAJI USHIRIKIANO KATI YA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI
link : TPSF: MAZINGIRA YA VIWANDA YANAHITAJI USHIRIKIANO KATI YA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI

soma pia


TPSF: MAZINGIRA YA VIWANDA YANAHITAJI USHIRIKIANO KATI YA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.

Mfuko wa Sekta Binafsi Nchini (TPSF) umesema kuwa katika kujenga mazingira ya biashara kunahitaji kuwepo kwa sekta ya umma pamoja na sekta binafsi katika kuandaa maeneo tengefu ya biashara.

Hayo ameyasema leo Makamu Mwenyekiti wa TPSF, Salum Shamte kwa niaba ya Mwenyekiti wa TPSF wakati akifungua mkutano wa 17 wa mwaka wa Mfuko wa Sekta ya Binafsi (TPSF) uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Shamte amesema kuwa katika kuendana na mipango ya kufikia uchumi wa kati sekta binafsi na sekta ya umma zinatakiwa kushirikiana katika kuangalia mazingira ya kufanya uwekezaji wa viwanda. 

Amesema katika maagizo ya Rais Dk. John Pombe Magufuli kwa wakuu wa mikoa , kutenga maeneo ya viwanda ambapo kuna uwezekano huo upo lakini changamoto ni miundombinu ya maeneo hayo.

Aidha ameiomba serikali kuanizisha Benki ya kuendeleza viwanda ili sekta hiyo iweze kukua na kufikia uchumi wa kati kwa kuajili watanzania wengi.
Shamte ameimba serikali kuongeza bajeti kwa mamlaka ya EPZA ili kuweza kutenga maeneo tengefu ya viwanda.

Hata hivyo amesema kuwa sekta binafsi ndio inaajiri kwa sehemu kubwa kuliko sekta ya umma, kutokana na takwimu zinaonesha kwa mwaka vijana wanahitimu 800,000 kwa sekta ya umma inaajiri vijana 40,000. 

Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey Simbeye amesema mkutano 17 kwa majadiliano yatayofanyika yataongeza uhai wa TPSF .Amesema ushirikiano kati ya serikali na sekta binafsi unazidi kuimarika hivyo kunaleta tija juu mahusiano.
Makamu Mwenyekiti wa TPSF, Salum Shamte akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa 17 wa Mfuko wa Sekta Binafsi nchini uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey Simbeye akikaribisha wajumbe wa mkutano mkuu wa mfuko huo leo katika uliofanyika katika ukumbi wa Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa EPZA ,Joseph Simbakalia akiwasilisha mada katika mkutano mkuu wa 17 wa TSPF, uliofanyika katika ukumbi wa Serena jijini Dar es Salaam.
Sehemu wajumbe wa Mkutano 17 wa TPSF uliofanyika katika ukumbi wa Serena jijini Dar es Salaam.picha na Emmanuel Massaka Globu ya Jamii.


Hivyo makala TPSF: MAZINGIRA YA VIWANDA YANAHITAJI USHIRIKIANO KATI YA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI

yaani makala yote TPSF: MAZINGIRA YA VIWANDA YANAHITAJI USHIRIKIANO KATI YA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TPSF: MAZINGIRA YA VIWANDA YANAHITAJI USHIRIKIANO KATI YA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/tpsf-mazingira-ya-viwanda-yanahitaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TPSF: MAZINGIRA YA VIWANDA YANAHITAJI USHIRIKIANO KATI YA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI"

Post a Comment

Loading...