Loading...

TRL IMEWATAKA WATUMIAJI WA USAFIRI WA TRENI KUFUATA SHERIA NA MATUMIZI SAHIHI YA USAFIRI HUO.

Loading...
TRL IMEWATAKA WATUMIAJI WA USAFIRI WA TRENI KUFUATA SHERIA NA MATUMIZI SAHIHI YA USAFIRI HUO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRL IMEWATAKA WATUMIAJI WA USAFIRI WA TRENI KUFUATA SHERIA NA MATUMIZI SAHIHI YA USAFIRI HUO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRL IMEWATAKA WATUMIAJI WA USAFIRI WA TRENI KUFUATA SHERIA NA MATUMIZI SAHIHI YA USAFIRI HUO.
link : TRL IMEWATAKA WATUMIAJI WA USAFIRI WA TRENI KUFUATA SHERIA NA MATUMIZI SAHIHI YA USAFIRI HUO.

soma pia


TRL IMEWATAKA WATUMIAJI WA USAFIRI WA TRENI KUFUATA SHERIA NA MATUMIZI SAHIHI YA USAFIRI HUO.

 Mwambawahabari
 Image result for picha ya treni mpya
Maria Kaira,Mwambawahabari
 Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) imewataka watumiaji hudumu za usafiri wa treni za abiria hasa iyendayo pugu, kuzingatia sheria za matumizi ya usafiri huo, ili kuepuka maafa ya kuchukuliwa hatua za kisheria ambazo zitamsababisha mkosaji kufungwa jela,kutozwa faini.

Hayo yameelezwa leo Mei 17, 2017 na Meneja wa Usafirishaji TRL, Iddy Mzugu wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, ambapo amesema  kuna baadhi ya abiria wamekuwa wakivunja taratibu za usalama wa usafiri wa treni ikiwemo kudandia mabehewa baada ya milango kufungwa huku treni ikiwa inatembea.



Hata hivyo, amesema uongozi wa TRL kuanzia sasa haitasita kuwachukulia hatua abiria wanaovunja taratibu sheria za usafiri wa treni za jiji, pia amesema atakayekamatwa kwa kosa hilo, atafikishwa mahakamani kwa hatua zaidi za kisheria ikiwemo kupigwa faini au kufungwa jela miezi sita.

“Tumefanya utafiti wa soko na kubaini kuna ongezeko kubwa la idadi ya abiria, sasa hivi treni iliyopo ina mabehewa 19 ya muda, hata hivyo ni kinyume cha sheria ya SUMATRA kwa hiyo hatuwezi kuongeza mabehewa mengine. Shirika mpango wake ni kuanza kutumia treni za ndani,kwa hiyo tuko katika hatua za kuziagiza,” amesema


“Kilichotokea tunasikitika sana, sababu kuna baadhi ya abiria hudandia kwa nguvu treni na mtu huwezi kumzuia na haturuhusu hilo kufanyika. Sasa tutakachokifanya ili kudhibiti hilo, ni kumpeleka polisi atakayebainika kufanya hivyo na kisha mahakamani ambapo atafungwa jela miezi sita au faini ya shilingi elfu hamsini,” amesema.

Kwa upande wake Inspekta Frank Gadau akizungumza kwa niaba ya  Kamanda wa Kikosi cha  amesema Kamanda Chillery amemuomba Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu kumuongeza idadi ya polisi kwa kuwa walioko sasa hawatoshi kudhibiti abiria kutokana na wingi wao.
"tumeanza oparesheni ya kudhibiti abiria wanaokiuka sheria oparesheni hii itahusisha kuwafikisha mbele ya sheria wasafiri wote wanaoenda kinyume na sheria"amesema


Hivyo makala TRL IMEWATAKA WATUMIAJI WA USAFIRI WA TRENI KUFUATA SHERIA NA MATUMIZI SAHIHI YA USAFIRI HUO.

yaani makala yote TRL IMEWATAKA WATUMIAJI WA USAFIRI WA TRENI KUFUATA SHERIA NA MATUMIZI SAHIHI YA USAFIRI HUO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRL IMEWATAKA WATUMIAJI WA USAFIRI WA TRENI KUFUATA SHERIA NA MATUMIZI SAHIHI YA USAFIRI HUO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/trl-imewataka-watumiaji-wa-usafiri-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TRL IMEWATAKA WATUMIAJI WA USAFIRI WA TRENI KUFUATA SHERIA NA MATUMIZI SAHIHI YA USAFIRI HUO."

Post a Comment

Loading...