Loading...

TUME YA UCHAGUZI YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR

Loading...
TUME YA UCHAGUZI YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUME YA UCHAGUZI YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUME YA UCHAGUZI YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR
link : TUME YA UCHAGUZI YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR

soma pia


TUME YA UCHAGUZI YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani akiwa ameshika bango wakati akiongoza maandamano ya wafanyakazi wa Tume kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika uwanja wa Uhuru.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (nyuma ya aliyeshika bango), wakipita mbele ya jukwaa kuu katika maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakisherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam wakipita mbele ya jukwaa kuu.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiwa jukwaa la uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, ambayo kitaifa yalifanyika mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wakiwa kwenye gari la maonesho wakionesha jinsi ya kupiga kura wakati wakipita jukwaa kuu la uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wakiungana na wafanyazi wenzao kuimba wimbo wa Mshikamano kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Picha na Hussein Makame, NEC.


Hivyo makala TUME YA UCHAGUZI YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR

yaani makala yote TUME YA UCHAGUZI YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUME YA UCHAGUZI YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/tume-ya-uchaguzi-yashiriki-sherehe-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUME YA UCHAGUZI YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR"

Post a Comment

Loading...