Loading...

UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SARPCCO

Loading...
UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SARPCCO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SARPCCO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SARPCCO
link : UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SARPCCO

soma pia


UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SARPCCO

mwambawahabari

unnamed

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe.Hamad Masauni akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu wakati anawasili katika ukumbi wa mikutano wa AICC kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kutoka nchi za kusini mwa Afrika (SARPCCO). Kulia ni Mkuu wa INTERPOL kanda ya Kusini Mubita Nawa.( Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)
A
Katibu Mtendaji wa SADC, Dk.Stegnomena Tax akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu kabla ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kutoka nchi za kusini mwa Afrika (SARPCCO) unaofanyika mkoani Arusha. IGP Mangu ndiye Mwenyekiti wa shirikisho hilo kwa kipindi hiki. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)
A 1
Baadhi ya Wakuu wa majeshi ya Polisi kutoka nchi za kusini mwa Afrika SADC wakitoa heshima wakati wimbo wa taifa unapigwa wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kutoka nchi za kusini mwa Afrika (SARPCCO) uliofanyika Mkoani Arusha. IGP wa Tanzania, Ernest Mangu ndiye Mwenyekiti wa shirikisho hilo kwa kipindi hiki. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)
A 2
Katibu Mtendaji wa SADC, Dk.Stegnomena Taxi, akitoa hotuba wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kutoka nchi za kusini mwa Afrika (SARPCCO) Mkutano huo ulifunguliwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe.Hamad Masauni Mkoani Arusha. IGP wa Tanzania Mangu ndiye Mwenyekiti wa shirikisho hilo kwa kipindi hiki. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)
A 3
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe.Hamad Masauni akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Polisi kutoka nchi za kusini mwa afrika (SARPCCO) baada ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kutoka nchi za kusini mwa Afrika unaofanyika Mkoani Arusha. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
A 4
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,  IGP Ernest Mangu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) akiwa ameambatana na Mkuu wa Jeshi la Polisi la Angola, Paulo de Almeida (kushoto) na Mkuu wa jeshi la Polisi la Msumbiji, Paulo Chachine (kulia) wakati wa Mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kutoka nchi za kusini mwa Afrika (SARPCCO) uliofanyika Mkoani Arusha.(Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.


Hivyo makala UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SARPCCO

yaani makala yote UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SARPCCO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SARPCCO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/ufunguzi-wa-mkutano-mkuu-wa-mwaka-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SARPCCO"

Post a Comment

Loading...