Loading...
title : UVCCM Mwambugu Alikuwa ni Mwanasiasa Mzalendo.
link : UVCCM Mwambugu Alikuwa ni Mwanasiasa Mzalendo.
UVCCM Mwambugu Alikuwa ni Mwanasiasa Mzalendo.
Mhe Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akisain Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Marehemu Said Mwambungu leo wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu Said Thabit Mwambungu kabla kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akisalimiana na Mhe Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya Mhe Rais Mstaafu kuwasili nyumbani kwa Marehemu Said Mwambungu leo wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu Said Thabit Mwambungu kabla kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .
Mhe Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akitoa Mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Said Mwambungu alipo fika leo kwa ajili ya ibada ya kuaga mwili wa marehemu Said Thabit Mwambungu kabla kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akisain kitabu cha waombolezaji alipo wasili nyumbani kwa Marehemu Said Mwambungu leo wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu Said Thabit Mwambungu kabla kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .
Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mery Majaliwa akisain kitabu cha waombolezaji alipo wasili nyumbani kwa Marehemu Said Mwambungu leo wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu Said Thabit Mwambungu kabla kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .
Baadhi ya waombolezaji wakiendelea kusoma dua mbali mbali za kumrehemu Marehemu Said Mwambungu.
Baadhi ya waombolezaji walio fika Msibani wakiendelea kusoma dua mbali mbali za kumrehemu nMarehemu Said Mwambungu.
Jenaza lenye Mwili wa Marehemu Said Mwambungu likiwa limefunikwa na bendela ya Chama cha Mapinduzi pamoja na Baadhi ya waombolezaji wakiendelea kusoma dua mbali mbali za kumrehemuNyumbani kwake kabla ya kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .(PICHA NA FAHADI SIRAJI)
Hivyo makala UVCCM Mwambugu Alikuwa ni Mwanasiasa Mzalendo.
yaani makala yote UVCCM Mwambugu Alikuwa ni Mwanasiasa Mzalendo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UVCCM Mwambugu Alikuwa ni Mwanasiasa Mzalendo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/uvccm-mwambugu-alikuwa-ni-mwanasiasa.html
0 Response to "UVCCM Mwambugu Alikuwa ni Mwanasiasa Mzalendo."
Post a Comment