Loading...
title : WAANDISHI WA HABARI ZA KILIMO TANZANIA (TAJF) WAKUTANA MALAIKA BEACH RESORT JIJINI MWANZA KUPANGA MIKAKATI
link : WAANDISHI WA HABARI ZA KILIMO TANZANIA (TAJF) WAKUTANA MALAIKA BEACH RESORT JIJINI MWANZA KUPANGA MIKAKATI
WAANDISHI WA HABARI ZA KILIMO TANZANIA (TAJF) WAKUTANA MALAIKA BEACH RESORT JIJINI MWANZA KUPANGA MIKAKATI
Mwambawahabari Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Kilimo Tanzania (TAJF), Gerald Kitabu (kulia), akizungumza na waandishi wa habari wanachama wa TAJF wakati wa kikao kilichofanyika Ufukwe wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza jana kujadili masuala mbalimbali ya chama hicho.
Katibu wa Chama hicho, Elias Msuya akizungumza katika kikao hicho. Kulia ni Mtunza Fedha wa chama hicho, Ellen Manyangu.
Wanachama wakiwa kwenye kikao hicho.
Na Dotto Mwaibale, Mwanza
WAANDISHI wa Habari wanaounda Chama cha Waandishi wa Habari za Kilimo wamekutana Malaika Beach Resort jijini Mwanza kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali ya chama hicho.
Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika jana Mwenyekiti wa chama hicho, Gerald Kitabu pamoja na mambo mengine alihimiza wanachama ambao bado hawajatoa michango yao ya mwaka waitoe ili kutunisha mfuko wa chama hicho.
“Ni muhimu wanachama ambao bado hawajaotoa michango yao kuhakikisha wanaitoa kwa wakati” alisema Kitabu.
Katibu wa Chama hicho, Elias Msuya alisema chama hicho kipo katika mchakato wa kutengeneza vitambulisho kwa ajili ya wanachama na wakati wowote vitakapo kuwa tayari vitatolewa kwa wahusika.
Hivyo makala WAANDISHI WA HABARI ZA KILIMO TANZANIA (TAJF) WAKUTANA MALAIKA BEACH RESORT JIJINI MWANZA KUPANGA MIKAKATI
yaani makala yote WAANDISHI WA HABARI ZA KILIMO TANZANIA (TAJF) WAKUTANA MALAIKA BEACH RESORT JIJINI MWANZA KUPANGA MIKAKATI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAANDISHI WA HABARI ZA KILIMO TANZANIA (TAJF) WAKUTANA MALAIKA BEACH RESORT JIJINI MWANZA KUPANGA MIKAKATI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/waandishi-wa-habari-za-kilimo-tanzania.html
0 Response to "WAANDISHI WA HABARI ZA KILIMO TANZANIA (TAJF) WAKUTANA MALAIKA BEACH RESORT JIJINI MWANZA KUPANGA MIKAKATI"
Post a Comment