Loading...

WACHEZAJI WATANO KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA

Loading...
WACHEZAJI WATANO KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WACHEZAJI WATANO KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WACHEZAJI WATANO KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA
link : WACHEZAJI WATANO KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA

soma pia


WACHEZAJI WATANO KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA

           
Wachezaji watano wameteuliwa (nominees) kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2016/2017.

Walioteuliwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho ni Aishi Manula (Azam FC), Haruna Niyonzima (Yanga), Mohamed Hussein (Simba), Shiza Kichuya (Simba) na Simon Msuva (Yanga).

Majina hayo yatapigiwa kura na makocha, makocha wasaidizi na manahodha wa timu za Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na wahariri wa michezo kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini.

Wahusika watatumiwa fomu maalum za kupiga kura kwenye email za klabu zao na vyombo husika vya habari. Mwisho wa kupiga kura ni saa 6 usiku ya Jumanne, Mei 23 mwaka huu.

Hafla ya kutoa tuzo hiyo ambayo inaratibiwa na Kamati ya Ushauri ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) itafanyika Mei 24 mwaka huu kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.



Hivyo makala WACHEZAJI WATANO KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA

yaani makala yote WACHEZAJI WATANO KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WACHEZAJI WATANO KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/wachezaji-watano-kuwania-tuzo-ya_17.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WACHEZAJI WATANO KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA"

Post a Comment

Loading...