Loading...

Wachimbaji wadogo wa madini, wachuuzi na madalali nchini kufanya mdahalo wa kitaifa kuhusu umuhimu wa sekta hiyo

Loading...
Wachimbaji wadogo wa madini, wachuuzi na madalali nchini kufanya mdahalo wa kitaifa kuhusu umuhimu wa sekta hiyo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wachimbaji wadogo wa madini, wachuuzi na madalali nchini kufanya mdahalo wa kitaifa kuhusu umuhimu wa sekta hiyo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wachimbaji wadogo wa madini, wachuuzi na madalali nchini kufanya mdahalo wa kitaifa kuhusu umuhimu wa sekta hiyo
link : Wachimbaji wadogo wa madini, wachuuzi na madalali nchini kufanya mdahalo wa kitaifa kuhusu umuhimu wa sekta hiyo

soma pia


Wachimbaji wadogo wa madini, wachuuzi na madalali nchini kufanya mdahalo wa kitaifa kuhusu umuhimu wa sekta hiyo

Wachimbaji wadogo wa madini, wachuuzi na madalali wa madini nchini wanatarajia kufanya mdahalo wa kitaifa juu ya umuhimu wa sekta ya madini na namna ya kuwanufaisha zaidi.

Mkurugenzi wa shirika la Haki Madini Amani Mhinda, akizungumza mji mdogo wa Mirerani na viongozi wa chama cha wachimbaji madini mkoani Manyara (Marema) alisema mdahalo huo utafanyika mkoani Geita.

Mhinda alisema lengo la mdahalo huo ni kuwaleta wadau mbalimbali kwa pamoja ili kuzungumzia changamoto zinazoikabili sekta hiyo kwa wachimbaji wadogo na kutafakari kitaifa maono ya wachimbaji. 

Alisema wanatarajia kufanya mdahalo huo mwishoni mwa mwezi Juni kwa kushirikiana na shirika kiongozi duniani la maendeleo la International Institute for Environment and Development (IIED). 

“Haki madini tunarajia mpango huu utatoa jukwa hitajika kwa wadau kushirikiana na kubadilishana ujuzi na kukuza utawala bora kuwa sauti kubwa, usalama na utengenezaji,” alisema Mhinda.

Alisema uchimbaji mdogo wa madini unaweza kutoa mchango chanya wenye umoja na usawa wa maendeleo endelevu na ukuaji wa uchumi, kwani husaidia mamilioni ya watu hasa wanawake na watoto. 

Katibu wa Marema Tawi la Mirerani, Abubakari Madiwa alisema kupitia mdahalo huo wanatarajia wachimbaji mdogo kunufaika kwa kujengewa uwezo hivyo wamejiandaa kushiriki mara utakapofanyika.

“Haki madini imekuwa msaada mkubwa kwa wachimbaji madini wadogo kwani tumekuwa pamoja bega kwa bega kwa kuhakikisha wachimbaji wadogo wanapata haki zao,” alisema Madiwa.
Viongozi wa chama cha wachimbaji madini Mkoani Manyara, Marema Tawi la Mirerani Wilayani Simanjiro, wakizungumza na viongozi wa shirika la Haki Madini juu ya mdahalo wa kitaifa wa madini unaotarajia kufanyika Mkoani Geita
Mtafiti wa shirika la IIED la Uingereza, Fitsum Weldegiorgis akizungumza juzi na viongozi wa chama cha wachimbaji madini mkoa wa Manyara, Marema (kushoto) ni Mkurugenzi wa shirika la Haki Madini, Amani Mhinda.
Viongozi wa chama cha wanunuzi na wachuuzi wa madini ya Tanzanite Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuzungumza na viongozi wa shirika la Haki Madini juu ya mdahalo wa kitaifa wa madini unaotarajia kufanyika Mkoani Geita. 


Hivyo makala Wachimbaji wadogo wa madini, wachuuzi na madalali nchini kufanya mdahalo wa kitaifa kuhusu umuhimu wa sekta hiyo

yaani makala yote Wachimbaji wadogo wa madini, wachuuzi na madalali nchini kufanya mdahalo wa kitaifa kuhusu umuhimu wa sekta hiyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wachimbaji wadogo wa madini, wachuuzi na madalali nchini kufanya mdahalo wa kitaifa kuhusu umuhimu wa sekta hiyo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/wachimbaji-wadogo-wa-madini-wachuuzi-na_20.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wachimbaji wadogo wa madini, wachuuzi na madalali nchini kufanya mdahalo wa kitaifa kuhusu umuhimu wa sekta hiyo"

Post a Comment

Loading...