Loading...
title : WADAU GODWIN D. MSIGWA NA DKT. FARAJA H. MPANGIKE WAMEREMETA LEO DAR ES SALAAM
link : WADAU GODWIN D. MSIGWA NA DKT. FARAJA H. MPANGIKE WAMEREMETA LEO DAR ES SALAAM
WADAU GODWIN D. MSIGWA NA DKT. FARAJA H. MPANGIKE WAMEREMETA LEO DAR ES SALAAM
Wadau Godwin D. Msigwa na Dkt. Faraja H. Mpangike wakitangazwa kama mume na mke katika kanisa la Dar es salaam Pentecostal Church (DPC) jijini Dar es salaam jioni hii |
Wadau Godwin D. Msigwa na Dkt. Faraja H. Mpangike wakionesha pete zao baada ya kutangazwa kuwa mume na mke katika kanisa la Dar es salaam Pentecostal Church (DPC) jijini Dar es salaam jioni hii
Wadau Godwin D. Msigwa na Dkt. Faraja H. Mpangike wakifurahia baada ya kutangazwa kuwa mume na mke katika kanisa la Dar es salaam Pentecostal Church (DPC) jijini Dar es salaam jioni hii
Wadau Godwin D. Msigwa na Dkt. Faraja H. Mpangike wakeielekea kwenye ukumbi wa Impala Mbezi Beach jijini Dar es salaam walikoandaa bonge la mnuso. Globu ya Jamii imawapa hongera na kuwatakia maisha mema ya ndoa.
Hivyo makala WADAU GODWIN D. MSIGWA NA DKT. FARAJA H. MPANGIKE WAMEREMETA LEO DAR ES SALAAM
yaani makala yote WADAU GODWIN D. MSIGWA NA DKT. FARAJA H. MPANGIKE WAMEREMETA LEO DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WADAU GODWIN D. MSIGWA NA DKT. FARAJA H. MPANGIKE WAMEREMETA LEO DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/wadau-godwin-d-msigwa-na-dkt-faraja-h.html
0 Response to "WADAU GODWIN D. MSIGWA NA DKT. FARAJA H. MPANGIKE WAMEREMETA LEO DAR ES SALAAM"
Post a Comment