Loading...
title : WADAU WA ELIMU TANZANIA WAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE - HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA ELIMU
link : WADAU WA ELIMU TANZANIA WAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE - HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA ELIMU
WADAU WA ELIMU TANZANIA WAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE - HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA ELIMU
Picha ya pamoja ya wadau wa elimu Tanzania na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge, huduma na Maendeleo ya Jamii baada ya kikao cha kuwasilisha mapendekezo ya wadau wa elimu katika bajeti ya elimu ya mwaka wa fedha 2017/2018 uliofanyika katika ukumbi mdogo wa bunge mjini Dodoma.
Baada ya Kikao hicho wanakamati ya bunge ya kudumu huduma na maendeleo ya jamii waliahidi kuyafanyia kazi mapendekezo yaliyotolewa na wadau wa elimu ili kuboresha kiwango cha elimu hapa nchini Tanzania.
Makamu Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya kudumu huduma na maendeleo ya jamii, Mhe. Azzan Zungu akifungua kikao na kuwakaribisha wadau wa elimu waliofika katika mkutano huo ili kuwasilisha mapendekezo na maoni kuhusu bajeti ya elimu ya mwaka 2017/18.
Kiongozi wa wadau wa elimu Tanzania(Head of Deligation) , Ndugu Saddam Khalfan akielezea madhumini ya kikao hicho kilichokuwa kinahusiha kuwasilisha mapendekezo na maoniya wadau wa elimu katika bajeti ya elimu ya mwaka 2017/18 kilichofanyika katika ukumbi mdogo wa Bunge mjini Dodoma.
Hivyo makala WADAU WA ELIMU TANZANIA WAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE - HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA ELIMU
yaani makala yote WADAU WA ELIMU TANZANIA WAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE - HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA ELIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WA ELIMU TANZANIA WAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE - HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA ELIMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/wadau-wa-elimu-tanzania-wakutana-na.html
0 Response to "WADAU WA ELIMU TANZANIA WAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE - HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA ELIMU"
Post a Comment