Loading...

Wakurugenzi waahidi kutekeleza kampeni ya maji 'Nipo Tayari'

Loading...
Wakurugenzi waahidi kutekeleza kampeni ya maji 'Nipo Tayari' - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wakurugenzi waahidi kutekeleza kampeni ya maji 'Nipo Tayari', tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wakurugenzi waahidi kutekeleza kampeni ya maji 'Nipo Tayari'
link : Wakurugenzi waahidi kutekeleza kampeni ya maji 'Nipo Tayari'

soma pia


Wakurugenzi waahidi kutekeleza kampeni ya maji 'Nipo Tayari'






Mratibu wa kampeni ya mazingira ijulikanayo kama Nipo Tayari Juliana Kitila akimuonyesha kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya Ulanga mkoani Morogoro Peter Nkaya ( wakanaza upande wa kushoto) hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa mambo sita ya ya usafi wa mazingira kwenye halmashauri yake ikiwa ni kampeni ya kuendeleza muitikio wa usafi mkoani Morogoro.
Kaimu Mkurugenzi halmashauri ya Ulanga mkoani Morogoro ‘akiapa’ kuwa yuko tayari kuungana na serikali katika kutekeleza swala la usafi sambamba na halmashauri yake.
Mratibu wa kampeni ya ya mazingira ijulikanayo kama Nipo Tayari Juliana Kitila akitoa maelezo kwa mkurugenzi wa halmashauri ya Kisarawe Mussa Gama juu ya kampeni ya hiyo mjini Morogoro jana.

Mkurugenzi wa halmashauri ya Kisarawe Mussa Gama akishilia bango la Nipo Tayari kama ishara ya kuwa yuko tayari kushiriki kikamilifu katika kampeni ya kitaifa ya usafi wa mazingira ijulikanayo kama Nipo Tayari wakati wa semina mjini Morogoro jana.


Hivyo makala Wakurugenzi waahidi kutekeleza kampeni ya maji 'Nipo Tayari'

yaani makala yote Wakurugenzi waahidi kutekeleza kampeni ya maji 'Nipo Tayari' Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wakurugenzi waahidi kutekeleza kampeni ya maji 'Nipo Tayari' mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/wakurugenzi-waahidi-kutekeleza-kampeni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wakurugenzi waahidi kutekeleza kampeni ya maji 'Nipo Tayari'"

Post a Comment

Loading...