Loading...
title : WAZIRI CHARLES MWIJAGE AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA KIMATAIFA YA BIASHARA TANGA
link : WAZIRI CHARLES MWIJAGE AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA KIMATAIFA YA BIASHARA TANGA
WAZIRI CHARLES MWIJAGE AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA KIMATAIFA YA BIASHARA TANGA
Meneja Mkuu Idara ya Masoko kiwanda cha saruji cha Rhino Tanga, William Malonza, akimuonyesha moja ya bidhaa zizalishwazo na kiwanda hicho, Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Charles Mwijage, wakati wa maonyesho ya tano ya Kimataifa ya biashara yanayofanyika katika viwanja ya maonyesho Mwahako ambayo yamezishirikisha kampuni kutpka mataifa mbalimbali ya Barani Afrika na Asia.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Charles Mwijage, akisalimiana na Afisa Masoko kiwanda cha saruji cha Rhino Tanga, Carolina Hillary wakati alipotembelea banda la maonyesho ya tano ya Kimataifa yalifunguliwa leo jijini Tanga katika viwanja vya maonyesho Mwahako.
Waziri wa viwanda na Biashara, Mhe. Chales Mwijage, akibadilishana mawazo na Meneja Mkuu Idara ya Masoko kiwanda cha Saruji cha Rhino Tanga, Bw. William Malonza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika Tanga.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Chales Mwijaga akipata maelekezo ya namna mkonge unavyoweza kutengeneza dawa pamoja na mafuta aina mbalimbali.
Simba ni moja katika wanyama ambao wameletwa kwa ajili ya maonyesho hayo ya Tanga. Wapo katika banda la idara ya Wanyamapori.
Hivyo makala WAZIRI CHARLES MWIJAGE AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA KIMATAIFA YA BIASHARA TANGA
yaani makala yote WAZIRI CHARLES MWIJAGE AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA KIMATAIFA YA BIASHARA TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI CHARLES MWIJAGE AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA KIMATAIFA YA BIASHARA TANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/waziri-charles-mwijage-afungua.html
0 Response to "WAZIRI CHARLES MWIJAGE AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA KIMATAIFA YA BIASHARA TANGA"
Post a Comment