Loading...

WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Loading...
WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
link : WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

soma pia


WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Mwambawahabaribumb1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba, akiwa katika mkutano na waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Jijini Dar Es Salaam leo,  akizungumza kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika kila mwaka Tarehe 5 Juni, ambapo Kitaifa mwaka huu yatafanyika Mkoani Mara kijijini Butiama kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ambapo Pamoja na Mambo Mengine pia alikuwa Mwanaharakati wa Mazingira. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Mkamu wa Rais Mwandisi Ngosi Mwihava.

bumb2
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba, akiwa katika mkutano na waandishi wa Habari ( Hawapo Pichani) katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Jijini Dar Es Salaam leo,  akizungumza kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika kila mwaka Tarehe 5 Juni, ambapo Kitaifa mwaka huu yatafanyika Mkoani Mara kijijini Butiama kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ambapo Pamoja na Mambo Mengine pia alikuwa Mwanahakati wa Mazingira. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Professor Faustin Kamuzora na kulia ni Naibu katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Mwandisi Ngosi Mwihava. ( Picha na Evelyn Mkokoi OMR)


Hivyo makala WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

yaani makala yote WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/waziri-makamba-azungumzia-maadhimisho.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI"

Post a Comment

Loading...