Loading...
title : Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Aongoza Mazishi ya Diwani.
link : Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Aongoza Mazishi ya Diwani.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Aongoza Mazishi ya Diwani.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ameongozana na Viongozi wa Mkoa wa Lindi na Mtwara pamoja na wananchi kuelekea makaburini kwa ajili ya mazishi ya aliyekuwa Diwani wa CCM Kata ya Mnacho, Kijiji cha Nandagala , Bw. Daniel Petro Mtawa aliyefariki tarehe May 7,2017 na kuzikwa kijijini kwake Nandagala Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi May 8,2017. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Bi. Halima Dendego na wa pili kulia, ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Zambi. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa , Bi. Rukia Mhango
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mbunge wa Ruangwa, akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Diwani wa CCM Kata ya Mnacho ,Kijij cha Nandagala , Bw. Daniel Petro Mtawa ambaye amefariki tarehe May 7,2017 na kuzikwa kijijini kwake Nandagala Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa salamu za Pole Katika Msiba kwa aliyekuwa Diwani wa CCM Kata ya Mnacho ,Kijij cha Nandagala , Bw. Daniel Petro Mtawa aliyefariki tarehe May 7,2017 na kuzikwa kijijini kwake Nandagala Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi May 8 ,2017. (PICHA NA OWM)
Hivyo makala Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Aongoza Mazishi ya Diwani.
yaani makala yote Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Aongoza Mazishi ya Diwani. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Aongoza Mazishi ya Diwani. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/waziri-mkuu-mhekassim-majaliwa-aongoza.html
0 Response to "Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Aongoza Mazishi ya Diwani."
Post a Comment