Loading...

WAZIRI MWAKYEMBE AYAFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017

Loading...
WAZIRI MWAKYEMBE AYAFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MWAKYEMBE AYAFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MWAKYEMBE AYAFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017
link : WAZIRI MWAKYEMBE AYAFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017

soma pia


WAZIRI MWAKYEMBE AYAFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017

Mkurugenzi wa Michezo Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Yusufu Singo (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mashindano ya mbio ya Km 21 ya Dasani Marathon 2017 baada ya kuwakabidhi zawadi zao eneo la Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Dar es Salaam leo. 
Mshindi wa kwanza, Augustine Sule (aliyesimama juu), Mshindi wa pili Stephano Huche (wa pili kushoto) na mshindi wa tatu Said Makula. Kushoto ni Nalaka Hettierachchi Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Coca Cola Kwanza iliyodhamini mashindano hayo kupitia kinywaji cha maji ya Dasani.
Kwa upande wa walemavu aliyeshinda ni Shukuru Khalfan, wa pili alikuwa Mathias John na Jonis Stephano alishika nafasi ya tatu.Mshindi wa kwanza wa mbio za Km 21 kwa upande wa wanaume na wanawake kila mmoja alikabidhiwa sh. mil 1, wa pili sh. 750,000 na wa tatu sh. 600,000.
Baadhi ya washiriki wakimalizia mbio zao katika Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay
Washiriki wakivishwa medali baada ya kumaliza kukimbia katika mashindano hayo
Elizabeth Ikengo wa NMB Bank akivishwa medali baada ya kumaliza mbio hizo

Timu ya NMB Bank iliyoshiriki katika mashindano hayo.






Hivyo makala WAZIRI MWAKYEMBE AYAFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017

yaani makala yote WAZIRI MWAKYEMBE AYAFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWAKYEMBE AYAFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/waziri-mwakyembe-ayafagilia-mashindano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MWAKYEMBE AYAFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017"

Post a Comment

Loading...