Loading...
title : WAZIRI MWIJAGE MGENI RASMI UFUNGUZI WA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI TANGA KESHO
link : WAZIRI MWIJAGE MGENI RASMI UFUNGUZI WA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI TANGA KESHO
WAZIRI MWIJAGE MGENI RASMI UFUNGUZI WA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI TANGA KESHO
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage kuwa mgeni kwenye maonyesho ya kimataifa yatakayoanza kesho kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akikagua mabanda mbalimbali kuelekea uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa kwenye na Waziri Mwijage
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akisalimiana na wanawake wajasiriamali wakati akikagua mabanda mbalimbali kuelekea uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa kwenye na Waziri Mwijage
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akisalimia na baadhi ya wajasiriamali wakati apokuwa akikagua mabanda mbalimbali kuelekea uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa na Waziri Mwijage
Hivyo makala WAZIRI MWIJAGE MGENI RASMI UFUNGUZI WA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI TANGA KESHO
yaani makala yote WAZIRI MWIJAGE MGENI RASMI UFUNGUZI WA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI TANGA KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWIJAGE MGENI RASMI UFUNGUZI WA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI TANGA KESHO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/waziri-mwijage-mgeni-rasmi-ufunguzi-wa.html
0 Response to "WAZIRI MWIJAGE MGENI RASMI UFUNGUZI WA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI TANGA KESHO"
Post a Comment