Loading...
title : WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANOWA AFRIKA MASHARIKI YAWAZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE
link : WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANOWA AFRIKA MASHARIKI YAWAZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANOWA AFRIKA MASHARIKI YAWAZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Aziz Mlima (wa kwanza kulia), akimkabidhi zawadi Afisa Mambo ya Nje, Bi. Eva Ng'itu kutoka Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa. Bi. Ng'itu amekuwa Mfakazi Hodari wa wa Wizara ya Mambo ya Nje kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017. Dkt. Mlima aliwapongeza na kuwasihi wafanyakazi waliofanya vizuri kuwa zawadi walizokabidhiwa iwe chachu ya kuongeza juhudi na ufanisi katika utumishi wao.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora na Mratibu wa Mafunzo wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Tagie Daisy Mwakawago naye akipokea zawadi ya ufanyakazi bora wa Idara ya Diaspora'
Bi. Nelusigwe kutoka Kitengo cha Ununuzi na Ugavi akipokea zawadi baada ya kuibuka mfanyajkazi bora wa Kitengo hicho.
Bw. Erick Ngilangwa kutoka Idara ya Afrika akipokea zawadi ya mfanyakazi bora wa Idara hiyo
Afisa Habari wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Rose Mbilinyi akipokea zawadi yake kutoka kwa Dkt. Mlima.
Hivyo makala WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANOWA AFRIKA MASHARIKI YAWAZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE
yaani makala yote WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANOWA AFRIKA MASHARIKI YAWAZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANOWA AFRIKA MASHARIKI YAWAZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/wizara-ya-mambo-ya-nje-na-ushirikianowa.html
0 Response to "WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANOWA AFRIKA MASHARIKI YAWAZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE"
Post a Comment