Loading...

YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO MWANZA, MBAO YANUSURIKA KUSHUKA

Loading...
YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO MWANZA, MBAO YANUSURIKA KUSHUKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO MWANZA, MBAO YANUSURIKA KUSHUKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO MWANZA, MBAO YANUSURIKA KUSHUKA
link : YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO MWANZA, MBAO YANUSURIKA KUSHUKA

soma pia


YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO MWANZA, MBAO YANUSURIKA KUSHUKA


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii,Mwanza.

Ligi Kuu Tanzania Bara imemalizika leo kwa timu ya Yanga kutawazwa ubingwa wa msimu wa 2016/17 ikiwa ni  mara 27 toka ligi kuanzishwa.

Yanga waliokuwa ugenini dhidi ya Mbao iliweza kupoteza mechi hiyo ya mwisho lakini walitawazwa ubingwa kwa idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa dhidi ya Mahasimu wao wakubwa Simba.

Katika mechi hiyo iliyoanza sa  10 Mbao waliandika goli lao la kwanza na la ushindi katika kipindi cha kwanza  ambapo liliweza kudumu mpaka dakika 90 kumalizika.

Mechi hiyo iliyochezeshwa na mwamuzi Ludovic Charles kutoka Tabora ilikuwa ya kukamiana kwa kila upande huku akionekana kushindwa kuuhimili mchezo huo.

Baada ya kumalizika kwa mechi nane za Ligi zilizochezwa kwa mda mmoja timu ya Toto Afrika ya Mwanza na African Lyon zimeshuka daraja zikiungana na JKT Ruvu iliyokuwa tayari imeshajikatia tiketi ya kurudi daraja la kwanza.
Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Wakiwa wanashangilia baada ya kutawazwa mabingwa leo Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya tatu mfululilzo.
 wachezaji nwa Yanga wakipokea medali zao za ubingwa baada ya kutawazwa mabingwa kwa mara ya 27 na mara ya tatu mfululizo.
Kikosi cha Mbao kilichocheza dhidi ya Yanga leo katika Uwanja wa CCM Kirumba na kuibuka na ushindi wa goli 1-0.
            Kikosi cha Yanga kilichocheza dhidi ya Mbaoleo katika Uwanja wa CCM Kirumba.
Mwali kabla ya kukabidhiwa.


Hivyo makala YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO MWANZA, MBAO YANUSURIKA KUSHUKA

yaani makala yote YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO MWANZA, MBAO YANUSURIKA KUSHUKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO MWANZA, MBAO YANUSURIKA KUSHUKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/yanga-wakabidhiwa-kombe-lao-mwanza-mbao.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO MWANZA, MBAO YANUSURIKA KUSHUKA"

Post a Comment

Loading...