Loading...
title : Yara yatoa huduma ya upimaji udongo bure
link : Yara yatoa huduma ya upimaji udongo bure
Yara yatoa huduma ya upimaji udongo bure
Yara Tanzania Ltd, imewekeza katika maabara ya kupima udongo ili kuweza kutambua virutubisho vilivyopo na vinavyokosekana kwenye udogo. Mara baada ya matokeo ya udongo kampuni hiyo kupitia wataalamu wake walio bobea kwenye sekta hiyo, hutoa ushauri kwa wakulima nini cha kufanya kulingana na zao lililolimwa au linalotarajiwa kulimwa.
Afisa ugani wa kampuni hiyo Bw. Maulid Mkima, alisema "lengo kuu la kampuni ya Yara Tanzania kuweka maabara ya udongo,ni kuweza kuwapa wateja wao huduma nzuri na mpangilio sahihi wa lishe bora na linganifu ya mimea".
Hivyo makala Yara yatoa huduma ya upimaji udongo bure
yaani makala yote Yara yatoa huduma ya upimaji udongo bure Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Yara yatoa huduma ya upimaji udongo bure mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/yara-yatoa-huduma-ya-upimaji-udongo-bure.html
0 Response to "Yara yatoa huduma ya upimaji udongo bure"
Post a Comment