Loading...

Yara yazindua maghala ya mbolea Rwanda, wakulima mbeya wafurahia ubora wa mbolea

Loading...
Yara yazindua maghala ya mbolea Rwanda, wakulima mbeya wafurahia ubora wa mbolea - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Yara yazindua maghala ya mbolea Rwanda, wakulima mbeya wafurahia ubora wa mbolea, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Yara yazindua maghala ya mbolea Rwanda, wakulima mbeya wafurahia ubora wa mbolea
link : Yara yazindua maghala ya mbolea Rwanda, wakulima mbeya wafurahia ubora wa mbolea

soma pia


Yara yazindua maghala ya mbolea Rwanda, wakulima mbeya wafurahia ubora wa mbolea

 Mkurugenzi wa kampuni ya Yara Mr. Alexandre Macedo (kati) akikata utepe kuashiria  uzinduzi wa ghala la kuhifadhi mbolea nchini Rwanda. Mr. Macedo ni msimamizi pia wa Yara Rwanda na Burundi ambapo hupata huduma zake za mbolea kupitia Tanzania
 Afisa kilimo mwandamizi  wa kampuni ya kuzalisha na kusambaza mbolea Yara Tanzania Ltd, Bw.Maulidi  Mkima (katikati) akiwa shambani kwa mkulima wa viazi katika kijiji cha Simambwe Wilaya ya Mbeya Furaha Ngala (kushoto) kwa ajili kukagua maendeleo ya zao hilo baada ya kutumia mbolea ya YaraMila WINNER, YaraLiva NITRABOR na YaraVita TRACEL BZ mpangilio wa lisha linganifu kwenye viazi. Kulia ni bwana shamba msaidizi wa kampuni hiyo kutoka Mbeya Medson Joseph
 Afisa kilimo wa kampuni ya uzalishai na usambazaji wa pembejeo za kilimo Yara Tanzania Ltd, Bw. Maulid Mkina kushoto akitoa elimu juu ya matumizi bora ya mbolea ya YaraMila WINNER, YaraLiva NITRABOR na YaraVita TRACEL BZ kwa ajili ya viazi kwa wakulima wa viazi katika kijiji cha Simambwe Wilaya ya Mbeya wa tatu ni mmiliki wa shamba hilo Bw.Furaha Ngala
Afisa kilimo kutoka kampuni ya Yara Tanzania Ltd wazalishaji na wasambazaji wa mbolea mbalimbali  Bw. Maulid Mkima akiwa na mkulima wa viazi katika kijiji cha Simambwe Wilaya ya Mbeya Bw. Furaha alipotembelea shambani kwake na kuona matokea ya zao hilo baada ya kutumia mbolea aina ya YaraMila WINNER, YaraLiva NITRABOR na YaraVita TRACEL BZ.


Hivyo makala Yara yazindua maghala ya mbolea Rwanda, wakulima mbeya wafurahia ubora wa mbolea

yaani makala yote Yara yazindua maghala ya mbolea Rwanda, wakulima mbeya wafurahia ubora wa mbolea Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Yara yazindua maghala ya mbolea Rwanda, wakulima mbeya wafurahia ubora wa mbolea mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/yara-yazindua-maghala-ya-mbolea-rwanda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Yara yazindua maghala ya mbolea Rwanda, wakulima mbeya wafurahia ubora wa mbolea"

Post a Comment

Loading...