Loading...
title : ASASI ZA KIRAIA 25 ZAUNGANA KATIKA KUMTETEA MTOTO WA KIKE APATE NAFASI YA PILI KURUDI SHULENI
link : ASASI ZA KIRAIA 25 ZAUNGANA KATIKA KUMTETEA MTOTO WA KIKE APATE NAFASI YA PILI KURUDI SHULENI
ASASI ZA KIRAIA 25 ZAUNGANA KATIKA KUMTETEA MTOTO WA KIKE APATE NAFASI YA PILI KURUDI SHULENI
--
Rebeca Gumi kutoka tasisi ya Msichana Initiative akizungumza juu ya adha wanazopitia watoto wa kike pindi wanapokuwa katika masomo yao mara tu wanapovunja ungo mpaka kuhitimu mafunzo ya elimu ya juu na kuomba wapewe nafasi ya pekee katika jamii hili waweze kuzifikia ndoto zao.
Mtafiti kutoka Tasisi isiyo ya Kiserikali ya TWAWEZA ,Richard Temu akizungumzia juu ya matokeo ya tafiti iliyofanyw ana asasi za kiraia kwa kushirikiana na Serikali katika kubaini Changamoto za mtoto wa kike .
Mkurugenzi wa chama cha Wanasheria Wanawake nchini (Tawla) Bi.Tike Mwambipile akizungumza masuala ya kisheria yatakayo msaidia mtoto wa kike hili aweze kufanikiw akatika masomo yake.
Meneja utetezi wa Twaweza ,Annastazia Rugaba akiwasilisha mada juu masuala yanayo mkabili msichana pindi anapokuwa shuleni
Kaimu Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu , Anna Henga akiwasilisha mada juu ya umuhimu wa msichana kupata elimu nchini
Mwandishi kutoka jamii Forum ,Asha Abinallah akiuliza swali kwa viongozi wa asasi za kiraia
Sehemu ya washiriki wakiwa katika mkutano huo
Hivyo makala ASASI ZA KIRAIA 25 ZAUNGANA KATIKA KUMTETEA MTOTO WA KIKE APATE NAFASI YA PILI KURUDI SHULENI
yaani makala yote ASASI ZA KIRAIA 25 ZAUNGANA KATIKA KUMTETEA MTOTO WA KIKE APATE NAFASI YA PILI KURUDI SHULENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ASASI ZA KIRAIA 25 ZAUNGANA KATIKA KUMTETEA MTOTO WA KIKE APATE NAFASI YA PILI KURUDI SHULENI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/asasi-za-kiraia-25-zaungana-katika.html
0 Response to "ASASI ZA KIRAIA 25 ZAUNGANA KATIKA KUMTETEA MTOTO WA KIKE APATE NAFASI YA PILI KURUDI SHULENI"
Post a Comment