Loading...
title : AZAM FC WATHIBITISHA KUONDOKA KWA MANULA NA KAPOMBE
link : AZAM FC WATHIBITISHA KUONDOKA KWA MANULA NA KAPOMBE
AZAM FC WATHIBITISHA KUONDOKA KWA MANULA NA KAPOMBE
Mwambawahabari
Uongozi wa timu ya Azam FC umethibitisha taarifa ya wachezaji wake Aishi Manula na Shomari Kapombe kusajiliwa na mabingwa wa michuano ya FA timu ya Simba kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao.
Mwenyekiti wa klabu ya Azam Iddrisa Nassoro alisema kwamba kwa upande wao kama uongozi wa klabu hiyo hawana kinyongo na wachezaji hao katika harakati za kuondoka kwao kwani ni moja ya kuendelea kusaka mafanikio kwa upande kwao.

Aidha Nassoro alisema kwamba uongozi unawashukuru wachezaji hao kwa ushirikiano wao ambao wameuonyesha tangu walipojiunga na Azam kwani kwa njia moja walifanikiwa kuipa maendeleo timu hiyo.
Alisema kwamba kwa sasa kwao wanaendelea kuifanyia kazi taarifa ya mwalimu mkuu kuhakikisha wanatimiza matakwa yake ikiwemo kusajili wachezaji ambao watakuwa na chachu ya mafanikio kwa klabu.

Hivyo makala AZAM FC WATHIBITISHA KUONDOKA KWA MANULA NA KAPOMBE
yaani makala yote AZAM FC WATHIBITISHA KUONDOKA KWA MANULA NA KAPOMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AZAM FC WATHIBITISHA KUONDOKA KWA MANULA NA KAPOMBE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/azam-fc-wathibitisha-kuondoka-kwa.html
0 Response to "AZAM FC WATHIBITISHA KUONDOKA KWA MANULA NA KAPOMBE"
Post a Comment