Loading...
title : BALOZI NCHIMBI AJITAMBULISHA KWA RAIS MICHEL TEMER WA BRAZIL
link : BALOZI NCHIMBI AJITAMBULISHA KWA RAIS MICHEL TEMER WA BRAZIL
BALOZI NCHIMBI AJITAMBULISHA KWA RAIS MICHEL TEMER WA BRAZIL
Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Balozi Emmanuel Nchimbi (kulia) akiwasilisha hati ya utambulisho kwa Rais wa Brazil, Michel Temer wakati alipofika kujitambulisha katika Ikulu ya Palácio do Planalto Jijini Brasilia, nchini humo, hivi karibuni.
Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Balozi Emmanuel Nchimbi (kulia) akisalimiana na Rais wa Brazil, Michel Temer wakati alifika kujitambulisha katika Ikulu ya Palácio do Planalto Jijini Brasilia, nchini humo, hivi karibuni.
Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Balozi Emmanuel Nchimbi (wa pili kulia) akiwa ameambatana na Mkewe (kulia kwake) wakiwasili katika Ikulu ya Palácio do Planalto Jijini Brasilia, alipokwenda kujitambulisha kwa Rais Michel Temer.
Hivyo makala BALOZI NCHIMBI AJITAMBULISHA KWA RAIS MICHEL TEMER WA BRAZIL
yaani makala yote BALOZI NCHIMBI AJITAMBULISHA KWA RAIS MICHEL TEMER WA BRAZIL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI NCHIMBI AJITAMBULISHA KWA RAIS MICHEL TEMER WA BRAZIL mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/balozi-nchimbi-ajitambulisha-kwa-rais.html
0 Response to "BALOZI NCHIMBI AJITAMBULISHA KWA RAIS MICHEL TEMER WA BRAZIL"
Post a Comment