Loading...

BALOZI WA CHINA NCHINI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI LEO WILAYANI KONGWA MKOANI DODOMA.

Loading...
BALOZI WA CHINA NCHINI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI LEO WILAYANI KONGWA MKOANI DODOMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI WA CHINA NCHINI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI LEO WILAYANI KONGWA MKOANI DODOMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI WA CHINA NCHINI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI LEO WILAYANI KONGWA MKOANI DODOMA.
link : BALOZI WA CHINA NCHINI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI LEO WILAYANI KONGWA MKOANI DODOMA.

soma pia


BALOZI WA CHINA NCHINI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI LEO WILAYANI KONGWA MKOANI DODOMA.

unnamed
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Balozi Lou Youqing (kulia) kabla ya kuanza ziara ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
1
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)akitembelea shule ya msingi ya Ibwaga, shule aliyosoma wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma. wa pili kushoto, ni Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa  Balozi Lou Youqing.
2
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akiongozana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Lou Youqing wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
3
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Banyibanyi wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
4
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma. kulia ni Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Lou Youqing na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya kongwa, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala BALOZI WA CHINA NCHINI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI LEO WILAYANI KONGWA MKOANI DODOMA.

yaani makala yote BALOZI WA CHINA NCHINI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI LEO WILAYANI KONGWA MKOANI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI WA CHINA NCHINI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI LEO WILAYANI KONGWA MKOANI DODOMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/balozi-wa-china-nchini-amtembelea-spika_1.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BALOZI WA CHINA NCHINI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI LEO WILAYANI KONGWA MKOANI DODOMA."

Post a Comment

Loading...