Loading...
title : Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella
link : Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella
Mh. Balozi George Kahema Madafa katika tukio la kukabidhi hati za utambulisho kwa Rais Wa Jamhuri ya Italia Mh. Sergio Mattarella kwenye Ikulu ya Rais jijini Roma hapo tarehe 18.05.2017. Mh. Balozi Madafa aliambatana na maafisa wawili wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italia pamoja na mkewe Bi. Esther Bhoke Madafa.
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Roma
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akapeana mikono na Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Roma
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa katika mazungumzo na Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella na maofisa wake baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Roma
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akiagana na Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Roma. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Hivyo makala Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella
yaani makala yote Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/balozi-wa-tanzania-nchini-italia-mh.html
0 Response to "Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella"
Post a Comment