Loading...
title : Bendera ya CHADEMA Kupeperuka Nusu Mlingoti kuomboleza kifo cha Mzee Philemon Ndesamburo
link : Bendera ya CHADEMA Kupeperuka Nusu Mlingoti kuomboleza kifo cha Mzee Philemon Ndesamburo
Bendera ya CHADEMA Kupeperuka Nusu Mlingoti kuomboleza kifo cha Mzee Philemon Ndesamburo
Mashinji ametoa maelekezo hayo leo wakati akiongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam na kusema bendera zinapaswa kupeperushwa nusu mlingoti hadi mwili wa kiongozi huyo utakapopumzishwa katika nyumba yake ya milele.
"Chama kitashiriki katika msiba huu kwa heshima zote kumuenzi mmoja wa waasisi wa siasa za mabadiliko ya kweli na Uhuru wa kweli nchini, msiba huu ni msiba wa CHADEMA, ni msiba wa Watanzania, ni msiba wa Taifa letu kutokana na mchango mkubwa wa Mzee wetu kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa nchi yetu, Mhe. Ndesamburo ndiye aliyekifadhili Chama kwa mara ya kwanza kwa kukipatia ofisi eneo la Kisutu jijini Dar es salaam" amesema Dkt. Mashinji
Hivyo makala Bendera ya CHADEMA Kupeperuka Nusu Mlingoti kuomboleza kifo cha Mzee Philemon Ndesamburo
yaani makala yote Bendera ya CHADEMA Kupeperuka Nusu Mlingoti kuomboleza kifo cha Mzee Philemon Ndesamburo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Bendera ya CHADEMA Kupeperuka Nusu Mlingoti kuomboleza kifo cha Mzee Philemon Ndesamburo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/bendera-ya-chadema-kupeperuka-nusu.html
0 Response to "Bendera ya CHADEMA Kupeperuka Nusu Mlingoti kuomboleza kifo cha Mzee Philemon Ndesamburo"
Post a Comment