Loading...
title : Chadema kupeperusha bendera nusu mlingoti kumuenzi Ndesamburo
link : Chadema kupeperusha bendera nusu mlingoti kumuenzi Ndesamburo
Chadema kupeperusha bendera nusu mlingoti kumuenzi Ndesamburo
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, kimetangaza kupeperusha bendera yake nusu mlingoti ili kumuenzi Muasisi wa Chama hicho, Marehemu Philemon Ndesamburo aliyefariki dunia jana Mei 31.2017, wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC Moshi.
Wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Juni Mosi, 2017 jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Chadema, Dkt. Vincent Mashinji amesema wameunda kamati ya kitaifa itakayoongozwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe kufanikisha msiba wa Ndesamburo.
“Kama chama tunamuona Mzee Ndesamburo kama mtu muhimu aliyejitoa kukipigania chama, tutahakikisha kwamba tunamuenzi na kutunza heshima yake kwa kuleta uhuru na mabadiliko ya kweli katika taifa letu. Huu ni msiba wa taifa, tutapeperusha bendera ya chama kwa nusu mlingoti, watendaji wa chama katika ngazi ya chama wahakikishe wanatekeleza,” amesema.
Pia amesema chama hicho kimefungua kitabu cha maombolezo katika makao makuu ya ofisi zake
Hivyo makala Chadema kupeperusha bendera nusu mlingoti kumuenzi Ndesamburo
yaani makala yote Chadema kupeperusha bendera nusu mlingoti kumuenzi Ndesamburo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Chadema kupeperusha bendera nusu mlingoti kumuenzi Ndesamburo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/chadema-kupeperusha-bendera-nusu.html
0 Response to "Chadema kupeperusha bendera nusu mlingoti kumuenzi Ndesamburo"
Post a Comment