Loading...
title : DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO.
link : DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO.
DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO.
Wageni wilayani Muheza Mkoani Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza, Mhandisi Hajat Mwanasha Tumbo
Wageni wilayani Muheza Mkoani Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza, Mhandisi Hajat Mwanasha Tumbo
Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga (RAS) Mhandisi Zena Saidi katikati anayefuatia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza (DAS) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza, Luiza Mlelwa wakipata futari iliyoandaliwa na mkuu huyo wa wilaya nyumbani kwake.
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu huyo wa wilaya.
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza na waandishi wa habari ambapo alitoa shukrani kwa kuitikia mwitikio wa futari hiyo.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO.
yaani makala yote DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/dc-muheza-afuturisha-wakazi-wa-wilaya.html
0 Response to "DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO."
Post a Comment