Loading...
title : DIWANI KATA YA PUGU KWA KUSHIRIKIANA NA MISS UBUNGO 2014 WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI SHULE YA MSINGI MINAZI MIREFU
link : DIWANI KATA YA PUGU KWA KUSHIRIKIANA NA MISS UBUNGO 2014 WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI SHULE YA MSINGI MINAZI MIREFU
DIWANI KATA YA PUGU KWA KUSHIRIKIANA NA MISS UBUNGO 2014 WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI SHULE YA MSINGI MINAZI MIREFU
Diwani wa Kata ya Pugu, Boniventure Mphuru akiwa na Muanzilishi wa Mradi wa CLEAN WATER SANITATION AND HYGIENE ambaye pia ni Miss Ubungo 2014, Diana Joachimu Kato wakiongozana na Wanafunzi wa shule ya Msingi minazi mirefu, Ukonga Jijini Dar es salaam Juni 5, 2017 wakati wa zoezi la kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani, ambapo walifanya usafi katika eneo lote la shule hiyo pamoja na kupanda miti.
Diwani wa Kata ya Pugu, Boniventure Mphuru akiwa na Muanzilishi wa Mradi wa CLEAN WATER SANITATION AND HYGIENE ambaye pia ni Miss Ubungo 2014, Diana Joachimu Kato wakijiandaa kupanda mti katika moja ya eneo la shule ya Msingi minazi mirefu Juni 5, 2017.
Diwani wa Kata ya Pugu, Boniventure Mphuru akipanda mti katika eneo la shule ya Msingi minazi mirefu Juni 5, 2017.
Muanzilishi wa Mradi wa CLEAN WATER SANITATION AND HYGIENE ambaye pia ni Miss Ubungo 2014, Diana Joachimu Kato akipanda mti shuleni hapo.
Hivyo makala DIWANI KATA YA PUGU KWA KUSHIRIKIANA NA MISS UBUNGO 2014 WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI SHULE YA MSINGI MINAZI MIREFU
yaani makala yote DIWANI KATA YA PUGU KWA KUSHIRIKIANA NA MISS UBUNGO 2014 WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI SHULE YA MSINGI MINAZI MIREFU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DIWANI KATA YA PUGU KWA KUSHIRIKIANA NA MISS UBUNGO 2014 WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI SHULE YA MSINGI MINAZI MIREFU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/diwani-kata-ya-pugu-kwa-kushirikiana-na.html
0 Response to "DIWANI KATA YA PUGU KWA KUSHIRIKIANA NA MISS UBUNGO 2014 WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI SHULE YA MSINGI MINAZI MIREFU"
Post a Comment