Loading...

Dkt. Shein atoa wito kwa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar

Loading...
Dkt. Shein atoa wito kwa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt. Shein atoa wito kwa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt. Shein atoa wito kwa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar
link : Dkt. Shein atoa wito kwa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar

soma pia


Dkt. Shein atoa wito kwa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar kusimamia vyema Sheria ya Baraza hilo sambamba na maadili kwa lengo la kuwahudumia vyema wananchi na kuzifanya huduma za afya zizidi kuimarika na kuendelea kuijengea sifa Zanzibar kama ilivyokuwa hapo siku za nyuma.

Dk. Shein, aliyasema hayo leo wakati alipokuwa na mazungumzo na Wajumbe wa Baraza la Wauguzi na Wakunga waliofika Ikulu mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha kwa Rais wakiwa wameongozana na uongozi wa Wizara ya Afya chini ya Waziri wa Wizara hiyo Mahmoud Thabit Kombo.

Katika maelezo yake Dk. Shein aliwaeleza Wajumbe hao haja na umuhimu mkubwa wa kuipitia na kuisoma vyema vifungu vyote na hatimae kuifanyia kazi Sheria ya Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar ya mwaka 2014 ili waweze kuliongoza vyema na kwa ufanisi zaidi Baraza hilo.

Dk. Shein, alisema kuwa iwapo Sheria hiyo itasimamiwa vyema  fani ya Uuguzi itaendelea kuwa na mafanikio makubwa sana hapa Zanzibar.

Alieleza matumaini yake makubwa kwa wajumbe hao ambao wamechaguliwa kutokana na kuwa kazi hiyo wanaiweza na kuwapongeza kwa kufanya mambo mengi tokea kuzinduliwa Baraza hilo lenye Wajumbe 13 Mrajis na wasaidizi wake wawili mmoja Pemba na mmoja Unguja mnamo mwezi June mwaka 2015.

Aidha, Dk. Shein alisisitiza suala zima la maadili ambalo ndio jambo muhimu katika fani yoyote duniani na kueleza kuwa katika fani ya Uuguzi suala la maadili ndio jambo la kulipa kipaumbele ili kuweza kutoa huduma nzuri ya afya kwa jamii.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Hivyo makala Dkt. Shein atoa wito kwa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar

yaani makala yote Dkt. Shein atoa wito kwa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Shein atoa wito kwa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/dkt-shein-atoa-wito-kwa-baraza-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dkt. Shein atoa wito kwa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar"

Post a Comment

Loading...