Loading...

Elimu : ATC na DIT Wasaini Mkataba wa Mashirikiano (MoU)

Loading...
Elimu : ATC na DIT Wasaini Mkataba wa Mashirikiano (MoU) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Elimu : ATC na DIT Wasaini Mkataba wa Mashirikiano (MoU), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Elimu : ATC na DIT Wasaini Mkataba wa Mashirikiano (MoU)
link : Elimu : ATC na DIT Wasaini Mkataba wa Mashirikiano (MoU)

soma pia


Elimu : ATC na DIT Wasaini Mkataba wa Mashirikiano (MoU)



Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Richard Masika(wa tatu kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology(DIT)Profesa Preksedia Marco Ndomba(wa pili kulia) wakisaini mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili. MoU imejikita kwenye ushirikiano wa Utafiti, Taaluma, kubadilishana wataalamu, ziara za kitaaluma kwa wanafunzi.

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Richard Masika(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology(DIT)Profesa Preksedia Marco Ndomba(kulia) wakisaini mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili uliofanyika katika chuo cha ufundi Arusha.

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Richard Masika(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology(DIT)Profesa Preksedia Marco Ndomba(kulia) wakibadilishana mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili uliofanyika katika chuo cha ufundi Arusha.

Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology(DIT)Profesa Preksedia Marco Ndomba(kulia) akizungumza jambo baada ya taasisi hiyo na Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)kuweka saini mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili uliofanyika katika chuo cha ufundi Arusha,kushoto ni Dk Richard Massika.


Hivyo makala Elimu : ATC na DIT Wasaini Mkataba wa Mashirikiano (MoU)

yaani makala yote Elimu : ATC na DIT Wasaini Mkataba wa Mashirikiano (MoU) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Elimu : ATC na DIT Wasaini Mkataba wa Mashirikiano (MoU) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/elimu-atc-na-dit-wasaini-mkataba-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Elimu : ATC na DIT Wasaini Mkataba wa Mashirikiano (MoU)"

Post a Comment

Loading...