Loading...
title : GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, WAWATANDIKA FC LEOPARDS BAO 3-0
link : GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, WAWATANDIKA FC LEOPARDS BAO 3-0
GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, WAWATANDIKA FC LEOPARDS BAO 3-0
Mabingwa ma Mashindabo ya SportPesa Super Cup 2017, Timu ya Gor Mahia kutoka nchini Kenya wakishangilia ushindi wao na Kombe la Ubingwa huo, baada ya kuwatandika wapinzani wao FC Leopards Mabao 3-0 katika mchezo uliomalizika hivi punde katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam.
Mabingwa ma Mashindabo ya SportPesa Super Cup 2017, Timu ya Gor Mahia kutoka nchini Kenya wakishuhudia Nahodha wao akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Dola elfu 30, baada ya kutwaa Ubingwa wa Mashindano hayo kwa kuwatandika wapinzani wao FC Leopards Mabao 3-0 katika mchezo uliomalizika hivi punde katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam.
Hivyo makala GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, WAWATANDIKA FC LEOPARDS BAO 3-0
yaani makala yote GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, WAWATANDIKA FC LEOPARDS BAO 3-0 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, WAWATANDIKA FC LEOPARDS BAO 3-0 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/gor-mahia-mabingwa-wa-sportpesa-super.html
0 Response to "GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, WAWATANDIKA FC LEOPARDS BAO 3-0"
Post a Comment