Loading...
title : Gulioni Yaaza Maandalizi Mapema Msimu Mpya. Sikukuu ya Iddi Kwa Kucheza na Timu ya Taifa ya Jangombe.
link : Gulioni Yaaza Maandalizi Mapema Msimu Mpya. Sikukuu ya Iddi Kwa Kucheza na Timu ya Taifa ya Jangombe.
Gulioni Yaaza Maandalizi Mapema Msimu Mpya. Sikukuu ya Iddi Kwa Kucheza na Timu ya Taifa ya Jangombe.
Timu ya Gulioni itaanza rasmi mazoezi siku ya Jumatatu ya June 12, 2017 kwa kujiandaa na msimu wa ligi Daraja la Pili Wilaya ya Mjini wa mwaka 2017/2018.
Akizungumza na Mtandao huu Rais wa klabu ya Gulioni Ahmed Khamis amesema wamepania kuanza mapema mazoezi ili msimu huu wajipange kupandisha daraja timu yao.
Mbali na kuanza mazoezi hayo, Ahmed amesema pia wanatarajia kucheza michezo mbali mbali ya kirafiki ukiwemo mchezo wao dhidi ya Taifa ya Jang’ombe katika Bonanza maalum ambalo litafanyika katika sherehe za Sikukuu ya Iddi Pili katika Uwanja wa Amaan.
“Tunatarajia kuanza mazoezi Jumatatu, tunaanza mapema kwasababu tujiandae zaidi kuipandisha timu yetu, pia tutacheza na Taifa ya Jang’ombe Iddi Pili kwenye Bonanza maalum”. Alisema Ahmed.
Msimu ulopita wa mwaka 2016-2017 Gulioni ilifanikiwa kutinga katika hatua ya 4 bora ya Ligi daraja la Pili Wilaya hiyo lakini walishindwa kusonga mbele na kulazimika kusalia katika daraja la Pili Wilaya ya Mjini.
Hivyo makala Gulioni Yaaza Maandalizi Mapema Msimu Mpya. Sikukuu ya Iddi Kwa Kucheza na Timu ya Taifa ya Jangombe.
yaani makala yote Gulioni Yaaza Maandalizi Mapema Msimu Mpya. Sikukuu ya Iddi Kwa Kucheza na Timu ya Taifa ya Jangombe. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Gulioni Yaaza Maandalizi Mapema Msimu Mpya. Sikukuu ya Iddi Kwa Kucheza na Timu ya Taifa ya Jangombe. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/gulioni-yaaza-maandalizi-mapema-msimu.html
0 Response to "Gulioni Yaaza Maandalizi Mapema Msimu Mpya. Sikukuu ya Iddi Kwa Kucheza na Timu ya Taifa ya Jangombe."
Post a Comment