Loading...
title : HAKI ELIMU YAZINDUA KAMPENI YA KUMUWEZESHA MTOTO WA KIKE APATE ELIMU
link : HAKI ELIMU YAZINDUA KAMPENI YA KUMUWEZESHA MTOTO WA KIKE APATE ELIMU
HAKI ELIMU YAZINDUA KAMPENI YA KUMUWEZESHA MTOTO WA KIKE APATE ELIMU
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Haki Elimu Nchini , John Kalaghe akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuondoa Vikwazo kwa Mtoto wa Kike katika hafla iliyofanyika katika ofsi za Tasisi hiyo Upanga jijini Dar es Salaam,Kampeni hiyo itasaidia kuongeza uelewa kwa jamii kumpa fursa msichana hili aweze kupata mafanikio na kufikia maelengo yake
Msemaji kutoka TGNP, Grace Kisetu akichangia jambo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ondoa Vikwazo asome iliyofanyika katika ukumbi wa Haki Elimu Upanga Jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Waandishi waliohudhuria kampeni ya ondoa Vikwazo asome iliyozinduliwa na Tasisi ya Haki elmu kwa kushilikiakana na mashirika mbalimbali ya kijamii.
Hivyo makala HAKI ELIMU YAZINDUA KAMPENI YA KUMUWEZESHA MTOTO WA KIKE APATE ELIMU
yaani makala yote HAKI ELIMU YAZINDUA KAMPENI YA KUMUWEZESHA MTOTO WA KIKE APATE ELIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HAKI ELIMU YAZINDUA KAMPENI YA KUMUWEZESHA MTOTO WA KIKE APATE ELIMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/haki-elimu-yazindua-kampeni-ya.html
0 Response to "HAKI ELIMU YAZINDUA KAMPENI YA KUMUWEZESHA MTOTO WA KIKE APATE ELIMU"
Post a Comment