Loading...
title : Harakati kipindi cha mfungo wa Ramadhaan, Chakechake Pemba
link : Harakati kipindi cha mfungo wa Ramadhaan, Chakechake Pemba
Harakati kipindi cha mfungo wa Ramadhaan, Chakechake Pemba
BIASHARA ya Nguo za mitumba za watoto wakiume suruali na flana, zimekuwa na soko katika kipindi hiki cha kuelekea skukukuu ya Idd el Fitri, pichani wananchi wakichangua nguo hizo katika gari aina ya keri Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WANANCHI mbali mbali Kisiwani Pemba, wameanza kuelekeza nguvu zao katika maandalizi ya skukuu kwa watoto wao, pichani wananchi wakichagua nguzo wa watoto katika mji wa chake chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BIASHARA ya Vitambaa vya kike vimekuwa na soko kubwa katika kipindi hiki cha Ramadhani, pichani muuza vitambaa akiwakatia wateja wake baada ya kununua vitambaa hivyo katika eneo la juwa kali Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Harakati kipindi cha mfungo wa Ramadhaan, Chakechake Pemba
yaani makala yote Harakati kipindi cha mfungo wa Ramadhaan, Chakechake Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Harakati kipindi cha mfungo wa Ramadhaan, Chakechake Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/harakati-kipindi-cha-mfungo-wa.html
0 Response to "Harakati kipindi cha mfungo wa Ramadhaan, Chakechake Pemba"
Post a Comment