Loading...
title : HATI YA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU NA MWENZAKE YABADILISHWA.
link : HATI YA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU NA MWENZAKE YABADILISHWA.
HATI YA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU NA MWENZAKE YABADILISHWA.
Na Karama Kinyuko.
Hatua hiyo imekuja leo baada ya wakili wa Serikali Constatine Kakolaki kuomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuomba kufanya mabadiliko hati ya mashtaka kabla ya kuwasomea maelezo ya awali.
Mapema Mwezi uliopita mahakama hiyo iliambiwa kuwa upelelezi wa kesi umekamilika na Leo ilikuwa inakuja kwa ajili ya kuwasomea washtakiwa maelezo ya awali (PH).
Wema na wafanyakazi wake Angelina Msigwa na Matrida Abas wamesomewa mashtaka mapya mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambaye alikubaliana na ombi la upande wa mashtaka.
Katika mashtaka hayo mapya, washtakiwa wanakabiliwa na mashitaka mawili la kukutwa na kiwango kidogo cha dawa za kulevya na kutumia dawa za kulevya.
Akiwasomea mashyaka hayo amedai, February 4, mwaka huu katika makazi yao Kunduchi Ununio, washtakiwa walitenda kowa.Imedaiwa kuw siku hiyo washtakiwa wote walikutwa na msokoto mmoja na vipisi vya bangi vyenye uzito wa gramu 1.08.
Aidha katika shtaka la pili linalomkabili Wema peke yake imedaiwa kuwa kati ya Februari Mosi na 3, mwaka huu, jijini Dar es Salaam, Wema alitumia dawa za kulevya aina ya bangi.
Hivyo makala HATI YA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU NA MWENZAKE YABADILISHWA.
yaani makala yote HATI YA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU NA MWENZAKE YABADILISHWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HATI YA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU NA MWENZAKE YABADILISHWA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/hati-ya-mashtaka-kesi-ya-wema-sepetu-na.html
0 Response to "HATI YA MASHTAKA KESI YA WEMA SEPETU NA MWENZAKE YABADILISHWA."
Post a Comment