Loading...
title : IGP SIMON SIRO KATIKA sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa uhamiaji CCP Moshi leo
link : IGP SIMON SIRO KATIKA sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa uhamiaji CCP Moshi leo
IGP SIMON SIRO KATIKA sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa uhamiaji CCP Moshi leo
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchi IGP Simon Sirro akikagua gwaride la maofisa wa uhamiaji wakati wa sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa hao, sherehe zimefanyika leo chuo cha polisi moshi CCP. Kozi hiyo ilihusisha warakibu wasaidizi (ASP), wakaguzi wasaidizi, meja, sajenti na koplo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchi IGP Simon Sirro akiwa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji CGI Dkt. Anna Peter Makakala wakati wa sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa hao. Sherehe zimefanyika leo Chuo cha Polisi Moshi (CCP). Kozi hiyo ilihusisha warakibu wasaidizi (ASP), wakaguzi wasaidizi, meja, sajenti na koplo.
Hivyo makala IGP SIMON SIRO KATIKA sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa uhamiaji CCP Moshi leo
yaani makala yote IGP SIMON SIRO KATIKA sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa uhamiaji CCP Moshi leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIMON SIRO KATIKA sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa uhamiaji CCP Moshi leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/igp-simon-siro-katika-sherehe-za.html
0 Response to "IGP SIMON SIRO KATIKA sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa uhamiaji CCP Moshi leo"
Post a Comment