Loading...
title : Jaji Mwingine wa Mahakama Kuu AJIUZULU......Rais Magufuli Aridhia
link : Jaji Mwingine wa Mahakama Kuu AJIUZULU......Rais Magufuli Aridhia
Jaji Mwingine wa Mahakama Kuu AJIUZULU......Rais Magufuli Aridhia
Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Mwendwa Judith Malecela amejiuzulu wadhifa wake huo kuanzia leo baada ya Rais Magufuli kukubaliana na ombi la jaji huyo aliyetaka kujiuzulu wadhifa wake.
Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu leo imedai kuwa Rais Magufuli amekubaliana na ombi la Jaji huyo hivyo kuanzia leo tarehe 20 Juni, 2017 Judith Malecela hatakuwa tena Jaji wa Mahakama Kuu.
Hivyo makala Jaji Mwingine wa Mahakama Kuu AJIUZULU......Rais Magufuli Aridhia
yaani makala yote Jaji Mwingine wa Mahakama Kuu AJIUZULU......Rais Magufuli Aridhia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Jaji Mwingine wa Mahakama Kuu AJIUZULU......Rais Magufuli Aridhia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/jaji-mwingine-wa-mahakama-kuu.html
0 Response to "Jaji Mwingine wa Mahakama Kuu AJIUZULU......Rais Magufuli Aridhia"
Post a Comment