Loading...
title : JANG’OMBE BOYS WAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP, YAPIGWA 2-0 NA GOR MAHIA
link : JANG’OMBE BOYS WAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP, YAPIGWA 2-0 NA GOR MAHIA
JANG’OMBE BOYS WAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP, YAPIGWA 2-0 NA GOR MAHIA
Mwambawahabari
Mshambuliaji wa Jang’ombe Boys, Juma Hafidh, akijaribu kumtoka beki wa Gor Mahia,Kagere Medie, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliomalizika hivi punde, Gor Mahia wameshinda mabao 2-0 yaliyofungwa na Medie Kagere katika dakika ya 63 na 84. Picha kwa hisani ya Montage Ltd.
Kiungo wa Jang’ombe Boys, Abdi Kassim, akimiliki mpira mbele ya beki wa Gor Mahia, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Montage Ltd
Kipa wa Gor Mahia, Shakava Haron, akiruka kudaka mpira wa hatari langoni kwake, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Montage Ltd
Mchezaji wa Jang’ombe Boys, Abdallah Rashid, akimtoka Wafula Innocent, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Montage Ltd
Hivyo makala JANG’OMBE BOYS WAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP, YAPIGWA 2-0 NA GOR MAHIA
yaani makala yote JANG’OMBE BOYS WAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP, YAPIGWA 2-0 NA GOR MAHIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JANG’OMBE BOYS WAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP, YAPIGWA 2-0 NA GOR MAHIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/jangombe-boys-waaga-mashindano-ya.html
0 Response to "JANG’OMBE BOYS WAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP, YAPIGWA 2-0 NA GOR MAHIA"
Post a Comment